Mambo Muhimu Yakuzingatia Kwa Mama Anayenyonyesha File

Mama anayenyonyesha anahitaji nishati ya ziada kuliko kawaida kwa sababu mwili unatumia nguvu nyingi kutengeneza maziwa.

Namna unavyomshika mtoto na jinsi anavyokamata titi huamua kiasi cha maziwa atakachopata na afya ya chuchu zako. MAMBO MUHIMU YAKUZINGATIA KWA MAMA ANAYENYONYESHA

Mama anapaswa kuwa mwangalifu na dalili zifuatazo na awahi hospitali: MAMBO MUHIMU YAKUZINGATIA KWA MAMA ANAYENYONYESHA